UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI

Balozi wa Usalama barabarani kutoka Taasisi ya Mabalozi wa Usalama barabarani nchini (RSA) akiwaelezea wanafunzi wa shule ya sekondari vitabu vinavyotoa elimu ya usalama barabarani wakati walipotembelea banda la taasisi hiyo wakati wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya nenda kwa Usalama yaliyofanyika katika Uwanja wa Mashujaa , Moshi Mjini, Mkoani Kilimanjaro.

UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI Reviewed by Unknown on 16:19 Rating: 5

No comments:

Theme images by merrymoonmary. Powered by Blogger.