BRAZIL YAONGOZA VIWANGO VYA SOKA DUNIANI, MISRI BADO VINARA AFRIKA
Shirikisho
la kandanda ulimwenguni Fifa limetoa orodha mpya ya ubora wa viwango vya soka
ulimwenguni.
Brazil bado
ni vinara kwa nafasi ya kwanza ikifuatiwa na Argentina nafasi ya pili, nafasi
ya tatu ni Ujerumani, nafasi ya nne ni Chile, nafasi ya tano ni Colombia,
nafasi ya sita ni Ufaransa, nafasi ya saba ni Ubeligiji, nafasi ya nane ni
Ureno, nafasi ya tisa ni Switzerland na nafasi ya kumi ni Hispania.
Kwa upande
wa Afrika Misri bado ni vinara ikiwa katika nafasi ya 19 ulimwenguni na orodha
nyingine ya ubora Duniani itatoka tena Juni Mosi.
CHANZO: BBC
BRAZIL YAONGOZA VIWANGO VYA SOKA DUNIANI, MISRI BADO VINARA AFRIKA
Reviewed by Unknown
on
06:58
Rating:
No comments: