CAF YAPATA RAIS MPYA
Kushoto ni Rais mpya wa Shirikisho la soka Afrika (CAF), Ahmad Ahmad. Kulia ni aliyekuwa Rais wa shirikisho hilo, Issa Hayatou. (Picha na AFP) |
Rais
wa muda mrefu wa shirikisho la kandanda barani Afrika CAF, Issa Hayatou,
ameshindwa kwenye uchaguzi.
Sasa rais mpya wa shirikisho hilo la soka ni Ahmad Ahmad, kutoka
nchini Madagascar ambaye alipata kura 34.
Hayatou ameongoza shirikisho hilo la CAF kwa muda wa miaka 29.
CHANZO: BBC
CAF YAPATA RAIS MPYA
Reviewed by Unknown
on
13:30
Rating:
No comments: