SERIKALI SASA KUFUATILIA MITANDAO YA KIJAMII
Na Mwandishi wetu
Serikali ya Tanzania imesema kuwa inafuatilia kwa karibu mambo yote yanayoendelea katika mitandao ya kijamii na kusisitiza kuwa endapo ikibaini kuwa hayana tija itaifunga mitandao hiyo kutumika nchini.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu leo jijini Dar es Salaam, imesema kuwa Watanzania wanaotumia mitandao ya kijamii wanapaswa kutumia mitandao hiyo kwa tija ya kujiletea maendeleo yao wenyewe na Taifa lao kwa ujumla.
SERIKALI SASA KUFUATILIA MITANDAO YA KIJAMII
Reviewed by Unknown
on
14:26
Rating:
No comments: